Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Wa nigeria wenyewe wamekuwa wakisema wazi wazi kuwa katika watu ambao ni wagumu kuwaingiza mkenge katika nchi za afrika basi watanzania ni namba one. Ukienda Kenya wamejazana wanapiga hela, ukienda Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na kwingineko ni halikadhalika. Ila sasa nimeshangaa ww kuwa mmoja wa wabongo walioingizwa chaka na hawa matapeli wa ki nigeria. Inashangaza kuona hakuna pastor au mchungaji wa kitanzania anaekubalika Nigeria, lkn wao wamefanikiwa kupenyeza maarifa yao kwa wajinga fulan ili waweze kukubalika kwetu. Ni aibu sana kwa kweli.Kaa kimya tu, humjui TB Joshua.
Accept the vicious tyrant is just dead and gone period!Kwa vile uchaguzi mkuu wa chama taifa ulikuwa unakaribia, na umaarufu wa Lisu ulikuwa unaongezeka ndani na nje ya chama, basi jamaa alionekana kuwa ni tishio kwa kiongozi fulan wa chama hicho, maana umaarufu wake na misimamo yake vingemfanya ashinde uchaguzi huo mapema sana na kumgaragaza kiongozi alie madarakan (rejea boko aliyotoa mwenyekiti ktk uchaguzi mkuu wa 2015, ambao ulimuondolea umaarufu na heshima ndani ya chama) Kwahiyo kwa kukataa aibu hiyo ndio ikabuniwa mbinu tofauti na ile iliyotumika kwa Chacha Wangwe na Zito. Ila kwa bahati mbaya mission ilifeli lkn jamaa hakuweza tena kugombea nafasi yoyote ndan ya chama. Hali hii ilitaka kumtokea na Sumaye katika uchaguzi mkuu wa chama. Alijifanya kumchalenji mwenyekiti wa chama katika nafasi yake, ila bahati nzuri yeye ni waziri mkuu mstaafu anaelindwa na serikali kwahiyo wazee wa mfumo wakawahi kumshtua kuhusu maji, au chakula chochote atacholetewa ktk vikao vya chama asivitumie. Bila shaka unaikumbuka ile kauli ya sumu haionjwi kwa ulimi na kama umeenda shule utakuwa unaelewa kilichomaanishwa. Kwahiyo haya yanayoendelea ni karma ya Lisu, Chacha Wangwe na wengine ambao hatuwafahamu. RIP Chacha Wangwe.
Unahisi Malaria imepanda kichwani?.Upime malaria na UTI...kwa faida yako
Alikutapeli nn,?Hata Tb Joshua hakuwa mtumishi wa Mungu,alikuwa Tapeli kupitia dini.
Unamjua Mungu ww? [emoji16]pole,bado hujamjua!Kama yule tapeli Joshua alikuwa kwenye ndoto yako, basi bila shaka shetani atakuwa alihusika na ndoto hiyo. Sio yule Mungu wa haki tumjuae.
Unajuaje,?Jiwe haendi mbinguni,alishakufuru wazi kabisa kuwa yeye atawaongoza malaika (alitamani kuwa Mikael)
Dhambi ya kuua haisameheki itakutesa milele kadri siku wapendwa wao wanavyohuzunika ndivyo unavyoteseka.Unajuaje,?
Kifo ni siri kati ya mtu na Mungu!
Who knows kama alipata neema ya kutubu kabla hajaondoka? Usiusemee moyo we pambana na hali yako uombe upate neema ya kuondoka vizuri
Kachanganya kuzimu na mbinguniUnasikitisha na kutia huruma sana.Yaani unadai kuwa Bwana Chato ambae alikuwa anaunda magenge ya uhuni na ujambazi umemuona Mbinguni?
Unaelewa hata kuwa msaidizi wake ambae ni Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa makosa ya uhuni na ujambazi wa kutumia silaha?
Daud aliuwa wa ngapi? Kwani hujuwi kiongoz wako wa taifa ana haki ya kukuchinja kama kuku? PambanaWewe ni muongo mkubwa,na pengine unataka kuugua ugonjwa wa akili.
Magufuli hawezi kuwa sehemu moja na mtumishi wa Mungu,TB Joshua, Magufuli was a serial killer akae vp na mtumishi wa Mungu,?
Sijui hata Kama alipata muda wa kutubu
Muulize mama yakosijaelewa, magu umemuona ameketi mahala gani?
🤣🤣🤣Kachanganya kuzimu na mbinguni