Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

Shikamoo mtani popoma......
 
Naona umefanikiwa kuweka mpira kimiani.
 
Tanzania Prisons walindwe kwa Mizinga maana hao Manyau manyau hawashindwi kuwatupia makombora ya Ulozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…