SIMBA NI MBOVU
IUSAJILI WA SIMBA NI MBOVU.
VIONGOZI MAZEZETA.
UWE NA AKILI.
FULL STOP
Nikisema kuwa kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu na huenda hata Walowazaa hawajui kuwa kwa bahati mbaya wametaa MATAHAIRA kama Wewe.
Kama uliyajua yote haya kwanini hukuyasema Jana nilipouanzisha huu Uzi na umesubiria hadi Utabiri wangu na Mitazamo wangu wa Kiufundi umeenda kama nilivyoonya mapema tu ndiyo umekuja na huu UHARO wako ambao pia umejazana sana hata Ubongoni mwako Pumbavu Mmoja mkubwa Wewe?
Kinachokutesa Wewe pamoja na Wapumbavu na Wendawazimu wenzako wengi hapa JamiiForums ni Umaarufu wangu mkubwa, uhakika wa Taarifa zangu, Uwasilishaji wangu, Kukubalika Kwangu na Wengi huku nikiwa na Utajiri mkubwa wa Maarifa tofauti na mlivyolaanika nyie.
Labda nikuhakikishie tu kwamba utatumia / mtatumia Nguvu nyingi sana Kunidhoofisha au Kupambana na Mimi ila nikuhakikishie / niwahakikishie kuwa hakuna ambacho mtaniweza au mtakiweza Kwangu kwani Mwenyezi Mungu aliniumba na Utajiri mwingi wa Shani / Tunu ambazo Kutwa niwe juu yenu na nitaendelea kuwa juu hadi Pumzi yangu ya mwisho hapa duniani.
Wivu na Chuki tu vimekujaa / vimewajaa dhidi yangu GENTAMYCINE utadhani labda nimeshawahi Kulala na Mama zenu Wazazi hivyo mna Hasira / Usununu nami kwa kila ninachokiandika hapa JamiiForums.
Na najua kuwa Wewe na Wenzako wengi mlikuwa mmejipanga Kunishushua na Kunishambulia kama Matokeo yasingeenda kama ambavyo Nilitabiri na nikiwa na uhakika nao kwa 100% kwani nilianza kuujua Mpira, Kuufuatilia na Kuuchambua zamani mno tena wengi wenu mkiwa bado katika Zipu / Kende za Baba zenu hivyo kutokana na Mazingira ya Timu yetu na Mambo ya Nje ya Uwanja nilijua tu kuwa leo Mechi itakuwa mbaya Kwetu na Uwanja wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro siyo mzuri Kwetu hata Kinyota ( Kinujumu ) na kwa Ngome kwani kwa 75% Mkoa wa Morogoro una Wataalamu ( Sangoma ) wengi wakubwa wa Yanga SC na hata 80% ya Mabosi wa MRFA ni Watu wa Yanga SC hivyo nilijua tu kuwa hatutoki na lazima TUTAUMIA tu na imekuwa.
Nikiwa nawaambia kuwa GENTAMYCINE is The King hapa JamiiForums na kwamba hata ile Tuzo yangu ya Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) sikuipata kwa Bahati mbaya na kwamba nitaendelea Kuipata kila likiwepo muwe mnaamini na hata kunipigia Salute kwani Mimi siyo wa Levels zenu sawa?
GENTAMYCINE "
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutakuja kutokea wa mfano wangu hapa JamiiForums.
Hakikisha huu Mkeka wangu wa Dozi hii Kali niliyokuandalia Kimkakati baada ya kukuona unazidi Kunizoea vibaya na Kujipendekeza sana Kwangu kama vile labda unataka Nikujaze Mimba zangu Kilazima unawatumia na Wapumbavu na Wendawazimu wenzako wengi tu hapa sawa?
Kula Chuma hiki.
Kudadadeki....!!