Nimewashangaa sana Lissu na Heche baada ya kusikiliza mjadala wa Royal Tour kwenye Club House ya Maria Sarungi

Ndio maana Lissu kashauri private sector isaidiwe kujitangaza nje ya nchi kupitia balozi zetu, na sio kumkalisha Rais nje ya nchi kwa wiki nzima.
About utalii Private sector wanajitangaza nini nje?
Ama it was about kutangaza vivutio?ambavyo ni mali ya umma

Naomba uelewa
 
Mi nawashangaa ccm kuanzia mwenyekiti wako na wanachama eti hawataki katiba mpya, yaani kweli hawaoni umuhimu wakati a mpya KWA sasa?

Royo tua ni sanaa za upigajii tu hanna kitu pale

Si unaona na wewe una akili tu kama hao wehu wenu sisi tunajadili wewe hapa unaongelea katiba mpya na Royal tua ni sanaa. Aisee mnaenda pabaya sana kama Taifa yani kichwani mko hovyo kabisa
 
Sawa
Basi subirini siku Mungu akijalia CDM ikawa madarakani mtafanya hivyo

Na tutafanya zaidi ya hayo, mpaka watu watashanga. Kumbuka hata Kenya mabadiliko ya kiuchumi leo yaliletwa na wapinzani. Akina Mwai Kibaki ambaye wakenya wanamsifu kwa kubadilisha uchumi wao, alitokea NARC ya upinzani 2002 akiwa na kina odinga.
 
Hata sisi wazalendo huwa tunawashangaa ccm wanavyopinga katiba mpya KWA hiyo hakuna jipya

Kijana acha uvivu fanya analysis ya Tanzania Royal Tour au na wewe ni kama mliokuwa mnataka awe Rais ya JMT
 
Ninyi chaggadema hamtakuwa mnatoza KODI.

Hata Halmashauri ambazo chaggadema waliwahi kutawala watu walikuwa hawalipi kabisa USHURU.

Kodi na tozo Ni vitu viwili tofauti. Huwezi kudai too kwenye huduma inayolipiwa Kodi. Unaponunua vocha Kuna VAT unailipa na unapotuma pesa Kuna Kodi unakatwa, Sasa inakuwaje Tena kwenye jbo ambalo Kodi inakatwa kuwepo na tozo? Too soon haki Bali Ni wizi. Huku gharama za Maisha zimepanda maradufu.
 
Tanzania Ni watu wangapi wanalipa Kodi kwa mujibu wa TRA?
 
Wanakijani inaonyesha fungus la posho limekuwa mbavyojitutimua🤸
 
Wanakijani inaonyesha fungus la posho limekuwa mbavyojitutimua🤸
Kwani huko Ufipa makengeza alishaacha kuwapa posho siku hizi anakula mwenyewe na Joyce Mukya???
 

Marekani ni Muungano wa Nchi 50 - The United State of America hivyo kuna maendo ambayo ndiyo stronghold zetu. Hii filamu itakuwa viewed kila mahala na siyo NY, DC, Las vegas, Texas ambako ndio traditional markets zetu. Pia ujuwe itakuwa kwenye platform kubwa kama amazon etc. Nijuavyo mimi matangazo ni matangazo ndio maana Coke cola inajulikana dunia nzima lakini bado inatangazwa. Anaepiga matangazo vita LAZIMA NI MPUMBAVU HAKUNA JINSI
 
About utalii Private sector wanajitangaza nini nje?
Ama it was about kutangaza vivutio?ambavyo ni mali ya umma

Naomba uelewa

Private sector maana yake tutumie no government organs kukuza na kutangaza utalii. Kwa mfano Simba SC alimtangaza utalii kwa misimu miwili CAF na hata Arsenal wanatanga utalii wa Rwanda kwenye ligii kuu. Kuna kipindi jk aliitumia Sunderland kutangaza utalii kwenye ligi kuu Ulaya.
 
Economist amezungumzia watalii, sio wananchi wote. Wananchi wengi wa Marekani hawana habari na nchi yeyote iliyokuwa nje ya mipaka yao isipokuwa zile ambazo wana uhusiano nazo au ziko karibu nao. Ndio maana wengi wenye asili ya ulaya wanapendelea kwenda Ulaya, weusi wanaenda Caribbean na walio kwenye mipaka ya kusini Mexico. Hawa hata uwaambie vipi hawatakuja Tanzania. Watalii anaozungumzia Economist ni wale ambao wanapendelea kutembelea nchi geni. Hawa ni wadadisi. Hawa wanafanya utafiti kabla ya kuchagua wapi kwa kwenda. Wanaangalia website za tour companies. Wanauliza wenzao kuhusu experiences zao. Vijana wanaangalia blogs za vijana wenzao ambao wanasafiri au waliowahi kuishi nje ya nchi. Ni wachache sana watafanya uamuzi kwa sababu wamemuona Rais wa Tanzania PBS na sasa wanajua Kilimanjaro iko Tanzania. Hivi unaamini mtalii mwenye nia ya kupanda mlima Kilimanjaro atakuwa hajui kuwa uko Tanzania?
Seychelles, Mauritius, Maldives na Botswana zina booming tourism industry. Na wamefanikiwa kwa kutumia private sector na sio serikali. Sisi hatuzijui nchi hizi kwa sababu dhana ya utalii ni ngeni kwetu. Watanzania wengi wanaenda China, lakini sidhani kama hata wanajua kuna Great Wall kule.

Serikali inatakiwa kuweka mazingira mazuri ya private sekta kushamiri, wao wataleta watalii!

Amandla...
 
Kwani huko Ufipa makengeza alishaacha kuwapa posho siku hizi anakula mwenyewe na Joyce Mukya???
Nyie SI mnasema mmepata Sterling mpya ni mwendo wa kuchungulia fursa na kuzitumia tu
 
Hawajapinga utalii maana utalii upo siku zote na Kuna channel Maalum ya utalii, wanachokosoa ni method na gharama iliyotumika. Tukibali alternative views Kama tunahitaji maendeleo.

1. How do you justify kwamba gharama ni kubwa? una compare na modality ipi ya utangazaji?
2. Channel maalumu unaongelea Safari channel ya TBC? inayoonekana Nantumbo, Manyoni na Bumbuli ndiyo ilete wazungu?
3. Sina shida na views bali nina shida na hoja za kijinga za viongozi wajuu wa upinzani
 
Nyie SI mnasema mmepata Stirling mpya ni mwendo wa kuchungulia fursa na kuzitumia tu
Sisi tunasema wapi?

Halafu huu muda unatumia kubweka bweka mitandaoni, ungeutumia kujifungua kuandika ili siku nyingine usiandike STIRLING
 
Umejiharibia ulipoitaja Amazon kama platform ya kutangaza utalii. Amazon ni duka tu. Labda ungesema inakuwa streamed kwenye Amazon Prime.
Watu hawapingi matangazo. Wanacho hoji ni aina ya matangazo na kama ni matumizi mazuri ya pesa yetu ya ngama. Ni valid questions.

Amandla...
 
Wewe Ni Chawa zaidi ya Panya Road,hata hujui kuwa Maria yupo Space ya Twita na siyo Club 🏠,kwani ulilazimishwa kuwasikiliza?
 
Ni mawazo mazuri
Nayo yatumike pia..
sports avenues ni very perfect

I prefer a combination of both
Sio condemnation of the other
 
A combination of both methods itumike

Wabongo wanaenda china kwa sababu za kibiashara sio kiutalii

WaTZ wengi naona utalii is just not in us hata kama tuna uwezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…