Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili.

CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
 
CCM imechoka kwa mfumo wake wa kugawana vyeo kwa kuwakumbia machawa, Ila chadema nayo hamna kitu kuna ujinga jinga mwingi sana na siasa za matukio kama magazeti ya udaku!
 
Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili.

CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
Wamenunuliwa na kauli ya makamu kubeba mishikaki
 
Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili.

CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
Mazafaka popote alipo huyo boda boda
 
Back
Top Bottom