PreGE2025 Nimewasikiliza CHAUMMA kwenye mkutano wao niseme nimesikitika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?

Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.

Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
 
Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Mama SSH" kifo ni kifo tu"" na huyu? Same of the same!!Zanzibar waungane Oman waende wakaue watumwa kwa sababu siyo watu!!
 
Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Njaa mbaya sana. Hapo walipo hawajui sera zo zote za Chaumma zaidi ya ubwabwa!

Ilitakiwa waandaye hoja za kwa nini ni wao na si CCM wala vyama vingine!
 
Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?

Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.

Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Hakuna chama hapo zaidi ya utapeli tupu
 
Huku mtaani watu hawana muda na hiki chama Cha wagombea vyeo, wanapoteza muda...
 
Nilicholujifunza tu ni kwamba, ni ngumu sanaa kumuamini kiumbe anaitwa binadamu. Aisee , at your own risk.
Hawa ndio walikua wakiaminiwa na wana mabadiliko wakiwa chadema. Na walikua na nyadhifa za juu kabisaaaa
 
Tatizo hawaja andaa hoja za ushawishi kwa wananchi ili wakubalike
 
20250603_195115.jpg
 
Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?

Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.

Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
CHAUMA ni CCM B. HAMNA UPINZANI HAPO
 
Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea

"Wanasiasa ni watu wasio na akili, ukiwalinganisha na wanyama basi akili yao imezidiwa hadi na nguruwe"
 
Back
Top Bottom