PreGE2025 Nimewasikiliza CHAUMMA kwenye mkutano wao niseme nimesikitika

PreGE2025 Nimewasikiliza CHAUMMA kwenye mkutano wao niseme nimesikitika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walisema CDMA haina mikakati, Kwahiyo hyo ndo mikakati yao kushinda ?

Na maajabu sasa watapata viti vya ubunge
 
Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?

Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.

Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Wale ni wahuni wakubwa
Njaa55
Njaa inawauwa
Majitu wapuuz sana wanataka vyeo tuu
Hakuna kuwapa support
 
Back
Top Bottom