Mpumbavu kabisa huyo. Ila wazanzibar watatusamehe tumewajua walivyo!Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Mama SSH" kifo ni kifo tu"" na huyu? Same of the same!!Zanzibar waungane Oman waende wakaue watumwa kwa sababu siyo watu!!Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Njaa mbaya sana. Hapo walipo hawajui sera zo zote za Chaumma zaidi ya ubwabwa!Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Ulikuwa hujui hilo?Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Hakuna chama hapo zaidi ya utapeli tupuNilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?
Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.
Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Huku mtaani watu hawana muda na hiki chama Cha wagombea vyeo, wanapoteza muda...Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?
Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.
Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Hajakosea, chauma ni tawi la kile chama ambacho m/kiti wake alisema 'kifo ni kifo tu'Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Kwa sababu wanaopotezwa ni Watanganyika.Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea
Yule jamaa kaongea ujinga sana. In short CHAUMMA hamna kitu labda kama wanasuprise wanaisubiria.Kuna Mzanzibar ameongea ujinga sana. Chadema ilijua kufuga wajinga
CHAUMA ni CCM B. HAMNA UPINZANI HAPONilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa?
Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo nakumbuka CHADEMA iliweka wagomea ila CCM na serikali ilifuta wagombea wote kwa kigezo cha ujinga eti kukosea kujaza fomu.
Hiki chama Chaumma kinaajenda ya siri kuisadia CCM tu.
Yule Makamu Mwenyekiti Zanzibar ndio kaharibu kabisa. Yeye kasema watu wawili au mmoja kupotea ni jambo la kawaida. Amekosea