Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa.

Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo inamtaka kila Mtanzania kulinda na kutunza rasimali za nchi bila kujali wewe ni kiongozi au sio kiongozi.

Mabadiliko ya sheria wanayotaka kufanywa yatakuwa yanapoka Bunge mamlaka ya kupitia kila mikataba inayoingiwa na Serikali inayohusu Rasimali za Nchi, ila mabadiliko yajayo yanataka mikataba yote mwisho wake ni baraza la Mawaziri ambapo vikao vya Baraza la Mawaziri mi siri.

Sheria hizi zilitungwa 2017 kutoka na historia yetu kutokuwa nzuri hasa kwa viongozi wetu kuingia mikataba ambayo ilikuwa inalipa Taifa hasara hivo ikaonekana bora mikataba iwe public kupitia Bunge ili wananchi wenyewe wajue na kushiriki kutoa maoni yao! Leo hii kitendo cha kurudisha mikataba inayoingiwa iwe siri ni sawa na kurudi tulikotoka.

Nimetoa maoni yangu kuhusu hili ijapokuwa mi sio mwanasheria ili nimejitahidi kuandika kulinga na mda wangu ambao niliokuwa nao kwa siku hizi mbili tatu.

Screenshot_2023-08-16-14-33-21-53_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg
 
View attachment 2718919
TUWEKEE HAPA HIYO EMAIL YA KAMATI YA BUNGE NA MIMI NIPELEKE MAONI YANGU!!
 
Hongera sana. Mchango wako na wa wengine umezaa matunda
 
Huu ni ushindi kwa Watanzania hongereni sana wabunge.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom