Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

Game sijalicheza. Kwa sababu linahitaji uwe na Coins. Na coins zinapaswa kununuliwa, huku Coin moja ikiwa Tsh 100.

Sasa nashauri, kuwepo na free coins kwa new ID. Walau hata Coins 10.

Kama mtu mchezo utamnogea lazima atanunua tu. Ila kumshurutisha kununua kabla hata ya kucheza mchezo mmoja ni changamoto.

Au unaweza kuunga na google ads, mtu akitaka apate walau point 2 basi itamlazimu aangalie video ya Sekunde 30.
 
Okay nadhan hujaangalia vzr. Kuna free games hapo 50.

Utaweza play bure games 50 kabla ya kununua coins.

Lengo la coins sana sana ni kwenye viingilio vya ligi ambapo washindi watazawadiwa pesa taslim kufidia hela wanayonunulia coins.

Karibu Telegram group SOLDRAX USERS
 
Kuwepo na time limit ya mchezaji kucheza kete.

Nimesubiri mpaka dakika 3 mchezaji hachezi. Nikitaka kusukuma inanizuia kucheza mpaka zamu yangu ifike.

Nimegive up hilo game. Namtafuta mchezaji mwingine..
 
Time limit zipo. 5 minute kwa kila move.

Niinvite tusukume kete mkuu au weka game ID .

Natumia Kalilinux
 
Time limit zipo. 5 minute kwa kila move.

Niinvite tusukume kete mkuu au weka game ID .

Natumia Kalilinux

Sijalicheza kwa sababu natumia ios, lakn ingekuwa vizuri host wa mchezo akachagua time kwa kila move, maana dakika tano ni nyingi sana kumsubiri mtu ambaye humuoni acheze. Unaweza kuta amepata mchongo mwingine we unasubiri acheze.
 
Hongera sana,hivi arobastini Ndio spades in English au
 
Sijalicheza kwa sababu natumia ios, lakn ingekuwa vizuri host wa mchezo akachagua time kwa kila move, maana dakika tano ni nyingi sana kumsubiri mtu ambaye humuoni acheze. Unaweza kuta amepata mchongo mwingine we unasubiri acheze.
Kweli! Time iwe inaanza ku count inapo switch opponent na ni sekunde 30 tu zinatosha japo kuna game zina sec 15
 
Ohoooo! Hapo kwenye ads hapo[emoji55] labda ziwe za kuangalia kwa ihari maana hua zina kera sijawahi ona! Yeye auze token tu hiyo mi ads itaua game
 
Sijalicheza kwa sababu natumia ios, lakn ingekuwa vizuri host wa mchezo akachagua time kwa kila move, maana dakika tano ni nyingi sana kumsubiri mtu ambaye humuoni acheze. Unaweza kuta amepata mchongo mwingine we unasubiri acheze.
Noted
 
Kweli! Time iwe inaanza ku count inapo switch opponent na ni sekunde 30 tu zinatosha japo kuna game zina sec 15
Ukiweka muda mchache sana kumbuka kuna mwenye slow internet connection. Ila nitadeal nayo kubalance mambo ili user experience iwe nzuri

Na kiukweli time inaanza kucount kwenye server pale tu opponent akiswitch lkn kwenye app utaona delay fln sababu ya data transfer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…