wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Gazeti moja la serikali linaitwa Daily News. Kwa hiyo maana yake siku mpya? Na siyo habari za siku?News ni mpya...
Latest information. Ndio maana kuna mtu ukikutana nae anakwambia lete mpya, au nipe mpya za huko ulipotoka.
News ni simply wingi wa neno New.
So tutafute neno habari kwa English inaitwaje!
Maana yake mpya za kila sikuGazeti moja la serikali linaitwa Daily News. Kwa hiyo maana yake siku mpya? Na siyo habari za siku?
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Wewe idea yako ni kutaka ku address tatizo gani? Kuwa kila driver awe na leseni au gari likiibiwa ijulikane nani ameliiba?Haya ni maneno yako mkuu na sio yangu. Sijasema hivi mimi. Nilichokisema ni kwamba ukichomeka leseni inapata validation TRA kisha gari inawaka
Mbona kama ume panic?Wewe idea yako ni kutaka ku address tatizo gani? Kuwa kila driver awe na leseni au gari likiibiwa ijulikane nani ameliiba?
solution unayopendekeza ina uhalisia na ukubwa wa tatizo?
sasa ok umeweka leseni gari limewaka, then?
Ni % ndogo sana wanaendesha magari bila leseni. Sasa unachotaka ku address hapa ni nini?
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Ndio nimeelewa kwanini ulisema ulichowaza ni ujinga.Mbona kama ume panic?
Sawa mkuuNdio nimeelewa kwanini ulisema ulichowaza ni ujinga.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Utafiti umefanyika na unasema kuwa Rais Samia atawashinda mafisadi na wezi wa mali za umma.Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekezaRais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Tanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sanaKinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Mungu ampe Afya njema na baraka nyingi Rais SamiaTanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana
Samia na JPM walijenga fly over zilizomshinda mkoloniKinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na SamiaSamia na JPM walijenga fly over zilizomshinda mkoloni
Rais Samia analeta maendeleo kila kona ya Nchi. Hakika huyu mama ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia