wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Gazeti moja la serikali linaitwa Daily News. Kwa hiyo maana yake siku mpya? Na siyo habari za siku?News ni mpya...
Latest information. Ndio maana kuna mtu ukikutana nae anakwambia lete mpya, au nipe mpya za huko ulipotoka.
News ni simply wingi wa neno New.
So tutafute neno habari kwa English inaitwaje!