Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Umeandika utopolo kiwango cha reli Kwa mfano mimi nina gari nina leseni na takataka ulizoandika nina ndugu yangu anajua kuendesha hilo gari ila hana leseni namwashia anakaa kwa siti namwachia lesen yangu na Password anaendesha mpaka anakokwenda anapaki samaki samaki anakunywa wee anachomeka leseni yangu na password anaondoka kurudi nyumbani na maisha yanaendelea ulifikiri wazungu karne ya 18 hawakuwaza hii kitu mpaka wakaacha yawe hivi yalivo mpaka wadada wa kaz wanapewa waende nayo sokoni
 
Hiyo namba 2 unaweza ukatekwa wakakuforce uwashe gari kwa leseni yako na wakaondoka nalo mpaka mbweni wakaenda likatakata wakauza kule ilala ukaenda zako polisi ooh nimeibiwa gari na stori lukuki kuona gari liliwashwa na nani wanakuta ni wewe unakula makofi na fimbo za mgongoni hata uweke tracking system watu wanakitoa wanasepa na gari yako AMKA TENA UKO USINGIZINI
 
Kwa mfano mimi nina gari nina leseni na takataka ulizoandika nina ndugu yangu anajua kuendesha hilo gari ila hana leseni namwashia anakaa kwa siti namwachia lesen yangu na Password anaendesha mpaka anakokwenda anapaki samaki samaki anakunywa wee anachomeka leseni yangu na password anaondoka kurudi nyumbani na maisha yanaendelea
Hakuna sehemu nimezungumzia masuala ya password.

Kutumia leseni ya mtu mwingine ni kosa kisheria aidha kuwe na system hii ama kusiwepo.
 
Hakuna sehemu nimezungumzia masuala ya password.

Kutumia leseni ya mtu mwingine ni kosa kisheria aidha kuwe na system hii ama kusiwepo.

Sasa kue na system ya kuweka leseni ya mtu fulani ndo gari iwake haina Password hiyo ni system au ndio kama makufuli ya miaka ile ya aluminium unabenjua tu limefunguka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sheria zimewekwa zinavunjwa kote duniani Yaani inatokea mwenye lesen nyumba nzima anaumwa na wengine hawapo tushindwe tumia gari kupeleka mgonjwa hospital .??? Uliona mataifa yalioendelea ni wajinga kufundisha watoto wao magari wakiwa angali na miaka 14 .??? Ingawa lesen wanaenda chukua na miaka 16 au zaid SYSTEM YAKO DOESN’t work kwa duniani labda kajaribu SAYARI YA UR anus..
 
Hiyo namba 2 unaweza ukatekwa wakakuforce uwashe gari kwa leseni yako na wakaondoka nalo mpaka mbweni wakaenda likatakata wakauza kule ilala ukaenda zako polisi ooh nimeibiwa gari na stori lukuki kuona gari liliwashwa na nani wanakuta ni wewe unakula makofi na fimbo za mgongoni hata uweke tracking system watu wanakitoa wanasepa na gari yako AMKA TENA UKO USINGIZINI
Uandishi wa kitoto hauna hoja
 
sheria zimewekwa zinavunjwa kote duniani Yaani inatokea mwenye lesen nyumba nzima anaumwa na wengine hawapo tushindwe tumia gari kupeleka mgonjwa hospital .??? Uliona mataifa yalioendelea ni wajinga kufundisha watoto wao magari wakiwa angali na miaka 14 .??? Ingawa lesen wanaenda chukua na miaka 16 au zaid SYSTEM YAKO DOESN’t work kwa duniani labda kajaribu SAYARI YA UR anus..
Utoto. Hauna hoja.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wazungu mawazo yao huyafanyia kazi, au wahindi pia hufanya hivyo , muhindi mmoja alipokwenda benk kuchukua pesa akakuta foleni ndeeeefu akawaza sana huyu jamaa akabuni MASHINE ya kutolea pesa (ATM) sasa hicho unachowaza kinawezena maana hilo wazo lako NI zuli sanaaaaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Teknolojia ya mawasiliano Bongo bado ipo chini mno. System kama hii inahitaji umakini na ujuzi ambao Bongo bado ni ndoto za mchana. Pamoa na hayo lakini nadhani utakuwa una-complicate mambo bila kupata faida ya maana.

Kama shida yako ni kuzuia wasio na leseni wasiendeshe gari basi watu wataazima leseni. Kama shida yako ni kuzuia wizi basi kuna teknolojia cheap na realible kuliko hii ya kuchomeka leseni.

Kwa kifupi ni wazo lisilo na impact yoyote bali litasabisha usumbufu usio na maana. Na zaidi watu bado watabuni njia za kufanya gari liwake hata kama hujaweka leseni.
Pale unapo hisi umepat wazo la maana alafu unakutana na watu kama hawa...
 
Back
Top Bottom