Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Umeandika utopolo kiwango cha reli Kwa mfano mimi nina gari nina leseni na takataka ulizoandika nina ndugu yangu anajua kuendesha hilo gari ila hana leseni namwashia anakaa kwa siti namwachia lesen yangu na Password anaendesha mpaka anakokwenda anapaki samaki samaki anakunywa wee anachomeka leseni yangu na password anaondoka kurudi nyumbani na maisha yanaendelea ulifikiri wazungu karne ya 18 hawakuwaza hii kitu mpaka wakaacha yawe hivi yalivo mpaka wadada wa kaz wanapewa waende nayo sokoni
 
Hiyo namba 2 unaweza ukatekwa wakakuforce uwashe gari kwa leseni yako na wakaondoka nalo mpaka mbweni wakaenda likatakata wakauza kule ilala ukaenda zako polisi ooh nimeibiwa gari na stori lukuki kuona gari liliwashwa na nani wanakuta ni wewe unakula makofi na fimbo za mgongoni hata uweke tracking system watu wanakitoa wanasepa na gari yako AMKA TENA UKO USINGIZINI
 
Hakuna sehemu nimezungumzia masuala ya password.

Kutumia leseni ya mtu mwingine ni kosa kisheria aidha kuwe na system hii ama kusiwepo.
 
Hakuna sehemu nimezungumzia masuala ya password.

Kutumia leseni ya mtu mwingine ni kosa kisheria aidha kuwe na system hii ama kusiwepo.

Sasa kue na system ya kuweka leseni ya mtu fulani ndo gari iwake haina Password hiyo ni system au ndio kama makufuli ya miaka ile ya aluminium unabenjua tu limefunguka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sheria zimewekwa zinavunjwa kote duniani Yaani inatokea mwenye lesen nyumba nzima anaumwa na wengine hawapo tushindwe tumia gari kupeleka mgonjwa hospital .??? Uliona mataifa yalioendelea ni wajinga kufundisha watoto wao magari wakiwa angali na miaka 14 .??? Ingawa lesen wanaenda chukua na miaka 16 au zaid SYSTEM YAKO DOESN’t work kwa duniani labda kajaribu SAYARI YA UR anus..
 
Uandishi wa kitoto hauna hoja
 
Utoto. Hauna hoja.
 
Wazungu mawazo yao huyafanyia kazi, au wahindi pia hufanya hivyo , muhindi mmoja alipokwenda benk kuchukua pesa akakuta foleni ndeeeefu akawaza sana huyu jamaa akabuni MASHINE ya kutolea pesa (ATM) sasa hicho unachowaza kinawezena maana hilo wazo lako NI zuli sanaaaaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Pale unapo hisi umepat wazo la maana alafu unakutana na watu kama hawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…