Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] endelea kusema vodacom wamekuibiw wazo lako tembea uone kuna Leseni zina smartchip dunian huko mmezoea leseni zenu za plastic za kutengeneza kkoo
Unapiga kelele sana, hauna hoja, uandishi mbovu.

Welcome to my ignore list.
 
Unapiga kelele sana, hauna hoja, uandishi mbovu.

Welcome to my ignore list.

Kumbe nimerusha jiwe gizani kajifunze kwanza kupika chapati ndio uje masuala ya magari na leseni za mbao hizo kufungua na kufunga tyre tu mtihani kwako.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sawa mkuu. Thanks.
 
Najatibu kupangua hoja yako ya kuhusu network, kuna kampunia inaitwa sun kingi hawa jamaa wanakukopesha taa za sola ,zile taa zina display mfano wa cm zina namba kama unaoona cm, sasa ukikopeshwa ile taa unasajiliwa baada ya hapo ww unatakiwa kununua uniti kama za luku lkn wao wana mfumo wao wanakupa unanunua kwenye cm yako kisha unaingiza ktk mile kioo cha sola kama unavyoingiza luku, sasa mm nikajiuliza hizi namba unazoingiza baada ya kununua huu umeme wao zinafanyaje kuingia sehemu ambayo hakuna network,


Mfano upo Shamba mbaliii huko yaani kupiga cm mpaka upande ktk mti kutafuta mtandao ,unanunua umeme wako kwenye cm yako kwa tabu maana network hakuna,lkn kuingiza ktk mtambo wao haisumbui swali linakuja wanatumia nn maana unaweza kuwa sehemu hakuna mtandao?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanawaza jinsi ya kuliendesha gari kwa kuliprogramm kama vile autopilot ili kurahisisha uendeshaji wa magari lakini wewe unawaza kucomplicate uendeshaji wa magari ,, yaani unataka iwe tabu kuendesha gari.

Kuhusu leseni ,,bado kuna leseni watu wanapita mlango wa nyuma kuzipata ,,, hivyo leseni si uhakika wa dereva salama.

Kuhusu security tayari kuna systems za security zinazodhibiti uizi wa magari.


Hongera kwa wazo lako.
 
Kuhusu leseni ,,bado kuna leseni watu wanapita mlango wa nyuma kuzipata ,,, hivyo leseni si uhakika wa dereva salama.
Ila ni chache sana ukilinganisha na zinazopatikana kwa njia halali. Ni suala la kuongeza udhibiti tu.
 
haitoweza kuwa hivo kamwe kwa sababu wakati mwingine gari hutusaidia wakati wa dharura kwa mfano umevamiwa na majambazi unatoka ndani haraka unapanda gari unakimbia au mpo porini camping ametokea mnyama au kitu cha hatari dereva wenu kafariki au haonekani inabidi mtu awashe gari haraka ili muondoke hata kabla hana leseni
 
umevamiwa na majambazi unatoka ndani haraka unapanda gari unakimbia au mpo porini camping ametokea mnyama au kitu cha hatari dereva wenu kafariki au haonekani inabidi mtu awashe gari haraka ili muondoke hata kabla hana leseni
Katika hayo mazingira yote ya dharura uliyoyataja, vp kama funguo nayo inakuwa imepotea au "misplaced"?
 
You are too far brother.
Yote yanawezekana Ila uko mbele sana futurist
 
Ndio maana nimeweka hapa JF. Ninazo nyingi ambazo sitakaa kumtangazia mtu. I have milions of ideas mzee baba tena ni very unique.

Duu nilituma idea ya sehemu za zebra crossing waweke laser badala ya mistari na hiyo ilikuwa miaka ya t 90 wakaniambia nichore sketch halafu nitume £450 ya utafiti ila sikufanya
Baadae wakaweka za aina tofauti kwa idea ya mtu mwingine
Nawaza kila kukicha ili na mimi niwe miongoni mwa wabunifu [emoji362]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…