Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
 

Ngoja tupeleke mtu Chatto salama kwanza.

Huku kwenye mengine yakiwamo na hata kwenye yale ya masikhara tutarudi baadaye.

Kuna mtu katuchosha na hadithi zile zile huku la maana halipo.

Tutapoteza appetite naye tukichanganya madesa.
 
Magufuli aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini ulidhani anatania?
 
Upuuzi
 
Rais Magufuli atatufikisha tu kama ndani ya miaka minne ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia USA.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
 
Hiyo inawezekana sana na sio hata kitu kigumu
Na hapa unaweza kuwa umewapa dili wajanja kama wale walioletaga speed governor, watu wakipigwa bao kinoma
Kwa wazungu gari zina Internet connectivity from Internet service provider, lakini kwa huduma zingine, kwa hiyo kutumia leseni kwa authentication(kuhakiki) ya leseni inawezekana sana tu.
Kwa bongo wanaweza kuhot wire the starting system ya gari, kwa kifaa cha kama magnetic strip reader au chip zitakazo kuwa kwenye leseni, tatizo inakuwa hamna authentication, unaweza kuazima leseni ya mtu na likaenda, hapo ndio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…