mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mzee Wa Ma idea! Sema kwa bongo watu Kazi yao kuiba ideasSawa boss...
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Wa Ma idea! Sema kwa bongo watu Kazi yao kuiba ideasSawa boss...
JPM for ever.Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mtu gani tena huyo mkuu?...Ngoja tupeleke mtu Chatto salama kwanza.
Mtu gani tena huyo mkuu?...
UpuuziShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa boss. Thanks.Upuuzi
Itakuwa ushirombo wa mtwaraa maana wachaga hatuna watu kichwani zero kama wew...!!Upuuzi
Achana nae huyo mkuu... Ni idea nzuri sanaa japo kila kizuri hakikosi kasorooSawa boss. Thanks.
Sawa bro.Achana nae huyo mkuu... Ni idea nzuri sanaa japo kila kizuri hakikosi kasoroo
Sawa boss...Na sisi ma hackers tutafanya yetu
Sawa mpe miaka mingine 5 tena mkuu.Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
This mounts to treason.iko siku msafara wa rais ukalala porini