Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu...Hiyo inawezekana sana na sio hata kitu kigumu
Mkuu, I have millions of ideas in my mind. Hizi ninazoandika hapa JF ni ideas za kitoto sana...Hapa unaweza kuwa umewapa dili wajanja
Sawa bro...Kwa wazungu gari zina Internet connectivity from Internet service provider, lakini kwa huduma zingine, kwa hiyo kutumia leseni kwa authentication(kuhakiki) ya leseni inawezekana sana tu.
Mkuu, I have millions of ideas in my mind. Hizi ninazoandika hapa JF ni ideas za kitoto sana...
Sawa mkuu...Mkuu ni hizi za kitoto ndio zinazo lift off the ground and easy to turn to a business opportunity
Mwizi anaweza kuwa na leseni pia.Faida ni kupunguza wizi wa magari.
Mwizi akiwa na leseni si itaonekana kuwa gari ya Bavaria imeendeshwa na mwizi Infantry Soldier?...Mwizi anaweza kuwa na leseni pia.
Wazo zuri la kipekee ,,,,ila leo hujatupa salamu ,,,,,wakubwa zako[emoji16][emoji16]Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Thanks bro...Wazo zuri la kipekee
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Team uvccmHii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
Hii tayari ipo,Sema wewe hujawahi kuiona na TRA hawajataka kuitumia.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?
Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.
(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)
(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.
WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.
I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!
Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!
NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Haipo, sema ndio mnataka mtengeneza sasa hivi baada ya kuona humu JF. Mnakuwa kama Vodacom.Hii tayari ipo,Sema wewe hujawahi kuiona na TRA hawajataka kuitumia.
Kwanini hawajataka kuitumia? Walikuwa hawana hata hili wazo.Hii tayari ipo,Sema wewe hujawahi kuiona na TRA hawajataka kuitumia.
Hii idea yangu ya kuchomeka leseni itakutana na changamoto ya network tu labda ila imekaa poa sana tu mkuuKuna sehemu niliwahi fanya kazi nikakuta gari zao ili ziwake lazima ubadge kwanza kisha ndiyo uweke funguo.
Monitoring system yao watakuwa wanafahamu ni nani anayeitumia gari muda huo au orodha kamili ya walioitumia hiyo gari.
Na kwenye issue ya usalama inasaidia kiasi kwani kwa wizi wasio na ufahamu mpana watashindwa kuiba hiyo gari (wale wezi wa kufunja ignition switch na kuunganisha nyaya kisha kusepa na gari) ila kwa wezi watabe hawatasumbuka hata kidogo mfano mzuri ni hizi gari zenye funguo ulio na transponder (immobilizer system) hapa wezi walichemka kiasi baadae wakaanza kuziiba tu kama kawaida.
Mchawi network, ila idea iko poa sana.Hii idea yangu ya kuchomeka leseni itakutana na changamoto ya network tu labda ila imekaa poa sana tu mkuu