Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Utapewa karatasi ya kura hakikisha unampa vema Magufuli na Ccm.
 
Mkuu, I have millions of ideas in my mind. Hizi ninazoandika hapa JF ni ideas za kitoto sana...

Mkuu ni hizi za kitoto ndio zinazo lift off the ground and easy to turn to a business opportunity
Complicated and Higher end ideas, ni vigumu kimplement ukizingatia Capital na Technology ya nchi unayoishi,

Vipi huko 3d printer zipo, hii ukiwa nayo , ni endless opportunity
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wazo zuri la kipekee ,,,,ila leo hujatupa salamu ,,,,,wakubwa zako[emoji16][emoji16]
 
Rais Magufuli anafanya kazi ya ziada kuhusu ardhi na sasa inarudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi waliteseka sana.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva?

Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya servers za TRA, Police Traffic pamoja na ignition system ya gari.

(1) Faida yake ya kwanza ni kwamba, hakuna mtu atakayeweza kuendesha gari kama hana leseni (Leseni inakuwa na smartchip kama ya ATM Card)

(2) Faida ya pili ni kwamba, ata ikitokea kuwa gari imeibwa ni rahisi kujua ni leseni ya dereva yupi inatumika kuendesha gari hiyo. Pia Mamlaka husika wanaweza kulizima hilo gari mara moja.

WATAALAM WA ICT, COMPUTER NETWORKING PAMOJA NA MECHANICAL/AUTOMOBILE ENGINEERING msipite bila kusema chochote please.

I STAND TO BE CORRECTED.....!!!!!

Nimelisajili hili wazo langu la kijinga kijinga...!!!!!

NB: TTCL nitawapa wazo kubwa sana la biashara ambalo halipo katika mitandao mingine ya simu za mikononi/kiganjani.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
 
Hii tayari ipo,Sema wewe hujawahi kuiona na TRA hawajataka kuitumia.
 
Soja unatisha kwa ideas. Sikuwezi mzee upo kama CR7. Njoo nikupe pussy bure.
 
Kuna sehemu niliwahi fanya kazi nikakuta gari zao ili ziwake lazima ubadge kwanza kisha ndiyo uweke funguo.

Monitoring system yao watakuwa wanafahamu ni nani anayeitumia gari muda huo au orodha kamili ya walioitumia hiyo gari.

Na kwenye issue ya usalama inasaidia kiasi kwani kwa wizi wasio na ufahamu mpana watashindwa kuiba hiyo gari (wale wezi wa kufunja ignition switch na kuunganisha nyaya kisha kusepa na gari) ila kwa wezi watabe hawatasumbuka hata kidogo mfano mzuri ni hizi gari zenye funguo ulio na transponder (immobilizer system) hapa wezi walichemka kiasi baadae wakaanza kuziiba tu kama kawaida.
Hii idea yangu ya kuchomeka leseni itakutana na changamoto ya network tu labda ila imekaa poa sana tu mkuu
 
Back
Top Bottom