Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Unaposema hao jamaa wako njema, psychologically you want us to believe that uko njema pia, sababu wamefanya kitu kama ulichowaza!
Ni wapi nimesema kuwa "I want you to believe that niko njema?"
 
Does it matter!?
You just think of "Argumentum Fallacy" if I mention my sex! Don't you?
Ninaomba kujua jinsia yako na kama ni mwanamke basi nisibishane na wewe. I usually don't argue with women.
 
Faida.
1. Kila gari itaendeshwa na mwenye leseni.
2. TRA watakusanya mapato on time kwa 100%
3. Rahisi kufuatilia matukio kama wizi na history ya gari katika kuendeshwa kwake.

Hasara.
1. Sehemu isiyokuwa na network lazima gari litazima na hakuna tena kuondoka.
2. Gharama kubwa itatumika endapo utaamua kuwa katika mfumo huo.
3. Running Cost ni kubwa sana katika kufuatilia magari nchi nzima.
4. Gari zote lazima zifungwe mfumo huo.
5. Kitengo cha customer service kiongezewe watu.
6. Nk
No 3,4,5 imejurudia.Point ni GHARAMA...ndani ya hiyo point ndo unaeleza mgawanyiko wa point hiyo.
 
Am not suggesting ! Am trying to tell you that stop being a jerk ! Women are as good as men![emoji2957]
I honestly know that women are as good as men that's why we now have madam president in the state house. But for so long as she's still young and beautiful, there's no way I can't flirt with her.
 
Back
Top Bottom