RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Idea nzuri ila haina uhalisia. Hata huko Japan, Ulaya na Marekani hawawezi weka limitation hiyo kwenye magari.
Mfano rahisi, katika familia yako ni wewe tu ndio utaweza kutumia gari hilo. Kwa maana leseni moja kwa card moja ya gari (kwa gari moja).
Pia, mawasiliano ya chip na database kama A TRA au Police au NIDA yanamaanisha gari na data base hizo ziwe connected na RELIABLE internet muda wote. Sasa kama bundle imechezeshwa kidogo tu juzi kelele kama zote na hizo ni bundle za kuingia facebook na Twitter na Insta tu, hayo magari itakuwaje?
Nadhani idea hii inakosa uhalisia wa kimazingira.