Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nitakuja kuyaandika yote hapa ila kwa ushauri, kama unamuliki gari lolote la petrol lililotengenezwa miaka ya 2000 kuja juu, zaidi ya 95% ya magari haya recommended SAE VISCOSITY ni 5w30 haswa pale unapokuta gari lilitengenezwa kulenga masoko ya sehemu zenye hali ya hewa tofauti tofauti...Oil recomended ni 0w20 hii tutapata wapi?
unasema oil ni 5w30 na 10w30 na hizo nyingine 20w50 na 10w60 ni za magari gani
Wewe wa 0w20 kibongo bongo huwezi kupata hiyo oil...oil hizo utazikuta nchi zenye baridi huko..
Hizo 20w50 zina engines zake especially high mileage engines na heavy duty vehicles hususan diesel engines