- Thread starter
- #41
asanten😂😂😂😂😂bongo sihami....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asanten😂😂😂😂😂bongo sihami....
Hiyo oil ni nzito sana huwa zinafanya engine kuharibika mapema...ukuwasha gari B asubuhi inchukua muda kusambaa hivyo vyuma vinasagana at cold start..Okay unaweza kutoa na sababu ya kwa nn apige chini au kuweka oil flan? Utakuwa umesaidia wengi
Kwa wastani high mileage inahesabiwa kuanzia km 150000....Chini ya hapo gari bado linahesabika lina low mileageHigh mileage kuanzia km?
Mwaga hiyo week 15w-40Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike?
mileage: 41,000kms
Hata 15w40 (4x4) SI mbayaKwa aliyetumia Oryx axella 20w50 kwenye hiyo xteail ya mileage ya 41k aipige chini...
Kama anabana bajeti atafute Oryx 5w30 au 10w30
Kama ana bajeti ya kati aweke Total 5w30 au 10w30
Kama ana bajeti nzuri zaidi Aweke Castrol au kampuni nyingine zinazoaminika kwa ubora 5w30au 10w30
Hii standardHata 15w40 (4x4) SI mbaya
Kwa Toyota upo sawa, hata ukiweka SAE 40 haina shida ila kwa Nissan mambo ni different.View attachment 1665912
Hata mm nimenunua Hiyo oil kwa ajili ya Rav 4 2006 AKA Miss TZ je nipo sawa
View attachment 1665913
Pia nimenunua Hizi dawa kwa ajili ya kusafisha mfumo wa oil na Kusafisha mfumo wa petroli je nipo sawa au kuna changamoto??
Brand ina muhimu pia. Makampuni yana viwango tofauti vya ubora.Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
Total 15w-40 vp?Brand ina muhimu pia. Makampuni yana viwango tofauti vya ubora.
Weka 15w-40 ndo mwake mwake kwa 4x4...epuka mafundi wa mtaani nenda kwenye petrol station (eg. TOTAL/PUMA) eg. Nimeenda TOTAL ya pale Mbezi afrikana (kubadilisha oil /oil yenyewe=47,000/=, filter=15,000, ufundi=10,000/=) wanatengeneza fresh Bei poaWakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
Mimi ushauri wangu ni huu: ingia Google, andika jina la injini halafu likifuatiwa na maneno 'recommended oil', halafu 'search'. Mfano: '1NZ-FE recommended oil', kisha search, utapata majibu.Wakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
Asante Mkuu. Nimeona Q20 engineMimi ushauri wangu ni huu: ingia Google, andika jina la injini halafu likifuatiwa na maneno 'recommended oil', halafu 'search'. Mfano: '1NZ-FE recommended oil', kisha search, utapata majibu.
Achukue Oil yake na Orxy apeleke Lab afu aje atuwekee hapa Matokeo, Orxy amekosa Marketing strategy nzuri tu lakini Oil zake ni safi sanaWabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
Naomba kujua baiskeli yangu phonex inatumia oil gani tafadhali
Aisee....kumbe na sisi tumo
Castrol,Toal, Oryx na nyinginezo zoooote, usipofuata specifications za gari lako utapigwa tu...
Wakati wa kuchagua oil, unaangalia viscosity inayopendekezwa kwa gari lako, kisha brand ya oil inafuata baadae..
Lakini kibongo bongo mtu akiona tu dumu limeandikwa Castrol, anaweka tu kwenye injini bila kujua kuwa Castrol zina namba tofauti kulingana na specifications za engine