Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Oil recomended ni 0w20 hii tutapata wapi?
unasema oil ni 5w30 na 10w30 na hizo nyingine 20w50 na 10w60 ni za magari gani
Nitakuja kuyaandika yote hapa ila kwa ushauri, kama unamuliki gari lolote la petrol lililotengenezwa miaka ya 2000 kuja juu, zaidi ya 95% ya magari haya recommended SAE VISCOSITY ni 5w30 haswa pale unapokuta gari lilitengenezwa kulenga masoko ya sehemu zenye hali ya hewa tofauti tofauti...
Wewe wa 0w20 kibongo bongo huwezi kupata hiyo oil...oil hizo utazikuta nchi zenye baridi huko..

Hizo 20w50 zina engines zake especially high mileage engines na heavy duty vehicles hususan diesel engines
 

Aiseeee, hadi nachanganyikiwa
 
Ushauri wako ni nn kwa aliyetumia Oryx Axcella 20w-50 kwenye X-trail?
 
Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
Yangu ni Toyota ya 2001, recommended oil specs ni 5w30. Nikiweka oil yenye viscosity nzito kama hizo za malori (20w50, 15w40), haya hutokea:
1. Injini kuvuma sana asubuhi
2. Fuel consumption kwenda juu sababu ya uzito wa oil.
3. Gari kuwa nzito barabarani

Ushauri: mtoa mada aweke recommended oil, 5w30. Hizo nzito nzito zina changamoto zake.
 
Ushauri wako ni nn kwa aliyetumia Oryx Axcella 20w-50 kwenye X-trail?
Kwa aliyetumia Oryx axella 20w50 kwenye hiyo xteail ya mileage ya 41k aipige chini...

Kama anabana bajeti atafute Oryx 5w30 au 10w30

Kama ana bajeti ya kati aweke Total 5w30 au 10w30

Kama ana bajeti nzuri zaidi Aweke Castrol au kampuni nyingine zinazoaminika kwa ubora 5w30au 10w30
 
Okay unaweza kutoa na sababu ya kwa nn apige chini au kuweka oil flan? Utakuwa umesaidia wengi
 
High mileage kuanzia km?
 
Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike?
mileage: 41,000kms
Kama ni engine oil namba 40,na ni ya engine inayotumia petrol,upo salama.
Oil inategemea na ama gari unatumia petrol au diesel,uwe unauliza oil namba 40 ya petrol Kama gari yako ni ya petrol au namba 40 ya diesel Kama unatumia diesel,engine namba 20 ,ni nzito inatumika kwenye gearbox.
 
Huelewek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…