Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Okay unaweza kutoa na sababu ya kwa nn apige chini au kuweka oil flan? Utakuwa umesaidia wengi
Hiyo oil ni nzito sana huwa zinafanya engine kuharibika mapema...ukuwasha gari B asubuhi inchukua muda kusambaa hivyo vyuma vinasagana at cold start..

Injini inakuwa inavuma sana wakati wa asubuhi na inakuwa inachelewa kufika kwenye idle rpm ambayo magari mengi ni kati ya 500 na 1000
 
Hata 15w40 (4x4) SI mbaya
 
Attachments

  • 3.jpg
    2.8 KB · Views: 23
Wakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
 
Wakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
Weka 15w-40 ndo mwake mwake kwa 4x4...epuka mafundi wa mtaani nenda kwenye petrol station (eg. TOTAL/PUMA) eg. Nimeenda TOTAL ya pale Mbezi afrikana (kubadilisha oil /oil yenyewe=47,000/=, filter=15,000, ufundi=10,000/=) wanatengeneza fresh Bei poa
 
Attachments

  • 3.jpg
    2.8 KB · Views: 25
Wakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
Mimi ushauri wangu ni huu: ingia Google, andika jina la injini halafu likifuatiwa na maneno 'recommended oil', halafu 'search'. Mfano: '1NZ-FE recommended oil', kisha search, utapata majibu.
 
Mimi ushauri wangu ni huu: ingia Google, andika jina la injini halafu likifuatiwa na maneno 'recommended oil', halafu 'search'. Mfano: '1NZ-FE recommended oil', kisha search, utapata majibu.
Asante Mkuu. Nimeona Q20 engine
 
Attachments

  • Screenshot_2021-01-04-20-22-26-91.png
    40.3 KB · Views: 26
Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tu
Achukue Oil yake na Orxy apeleke Lab afu aje atuwekee hapa Matokeo, Orxy amekosa Marketing strategy nzuri tu lakini Oil zake ni safi sana
 
Nimeweka Sasa Total 15w-40
 
Watu wengi hawajui hili ,wanahangaika na brand....inachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…