Shukrani mkuu, kabla sijabadili oil from 20w50 to 15w40 nliamua kuipeleka garage moja kubwa maeneo ya kijitonyama ikachekiwa kwenye machine tatizo hasa litakuwa ni nini mpaka gari kuwa nzito na kutobadili gia hata ukikanyaga mafuta, ikaonekana Hamna tatizo Ila fundi alipofanya uchunguzi ikajulikana tatizo ni airmass sensor imekufa, kubadili tuu iyo gari imekuwa safi bila hats kubadili oil.
Sasa tatizo sasa hivi nikiwasha tuu gari, kuna hizi taa zinawaka wakati mwanzoni hazikuwa zikiwaka, na hii ni baada ya service.
View attachment 1797749