Usichanganyikiwe ni kazi rahisi sana. Weka 5w-30 au 10w-30, hiyo haina shida kwa nissan yako. By the way haujasema ni nissan ya mwaka gani?!Aiseeee, hadi nachanganyikiwa
Mwaga hiyo oil haraka sana. Tia 5W-30 tena ukipata ya total itakuwa poa sana.Wakuu nimewekewa "Quartz 5000 20w50-5L" kwenye Toyota Kluger V four yenye 46000+ km gari imekuja kuwa nzito sana kuchanganya. Ushauri wenu tafadhali
Hizo namba umepewa nyingi ili uchague kulingana na kiwango cha joto pia uangalie issue ya viscosity.Asante Mkuu. Nimeona Q20 engine
Tumia Mafuta ya KORIE. Weka namba 1W - 45Naomba kujua baiskeli yangu phonex inatumia oil gani tafadhali
Engine oil tank ndio sehemu gani hiyo ya gari?!engine oil flush inatumika pale tu unapotaka kubadilisha oil na unatakiwa uiweke kwenye engine oil tank dakika 15 kabla hujamwaga oil na hii inasaidia kusafisha slug zote ambazo zimegandana huko kwenye engine ili wakati wa kumwaga zitoke kwa pamoja
kumbuka unaiweka kwenye oil chafu unayotaka kuimwaga dakika 15 na kuendelea kabla hujamwaga na mda huo huo unaoiweka hakikisha gari haijazimwa
Ipo Makin sana
Nunua OGHabari zenu nimesoma nimepata elimu kubwa sana ila me bado nina swali lakuuliza, me natumia Premio 2009 engine ZRT 261 mara ya mwisho niliweka 5w 30 total wakati huu wakat nabadili fundi kanishaur hata 5W 40 kwa mazingira yetu pia inafaa so nikanunua castrol 5W 40 je ni sawa? Pia swala la oil filter me nilikua nanunua tsh.15000 akaniambia hizo ni fake akanipa ya tsh.48000 anasema ndo original na ukiangalia box zake kweli ni tofauti naambatanisha picha muangalie muone kama ni kweli fake na original
Ya kushoto ni fake niliyonunua na ya kulia ndio og ambazo wanazo
View attachment 1786723
Shukrani mkuu, kabla sijabadili oil from 20w50 to 15w40 nliamua kuipeleka garage moja kubwa maeneo ya kijitonyama ikachekiwa kwenye machine tatizo hasa litakuwa ni nini mpaka gari kuwa nzito na kutobadili gia hata ukikanyaga mafuta, ikaonekana Hamna tatizo Ila fundi alipofanya uchunguzi ikajulikana tatizo ni airmass sensor imekufa, kubadili tuu iyo gari imekuwa safi bila hats kubadili oil.Weka 15w-40 ndo mwake mwake kwa 4x4...epuka mafundi wa mtaani nenda kwenye petrol station (eg. TOTAL/PUMA) eg. Nimeenda TOTAL ya pale Mbezi afrikana (kubadilisha oil /oil yenyewe=47,000/=, filter=15,000, ufundi=10,000/=) wanatengeneza fresh Bei poa
Tanzania kuna vituko sana,yaani unapeleka gari garage likiwa na tatizo la kutokubadili gear halafu tatizo linatibiwa ila unarudishiwa gari likiwa linawaka taa ya check engine.Bongo sihami,nalog off!Shukrani mkuu, kabla sijabadili oil from 20w50 to 15w40 nliamua kuipeleka garage moja kubwa maeneo ya kijitonyama ikachekiwa kwenye machine tatizo hasa litakuwa ni nini mpaka gari kuwa nzito na kutobadili gia hata ukikanyaga mafuta, ikaonekana Hamna tatizo Ila fundi alipofanya uchunguzi ikajulikana tatizo ni airmass sensor imekufa, kubadili tuu iyo gari imekuwa safi bila hats kubadili oil.
Sasa tatizo sasa hivi nikiwasha tuu gari, kuna hizi taa zinawaka wakati mwanzoni hazikuwa zikiwaka, na hii ni baada ya service.
View attachment 1797749
Hahahaha sorry mkuu kwa kutomalizia maelezo hili tatizo limeanza baada ya siku kama mbili mbeleni baada ya kutoka garage.Tanzania kuna vituko sana,yaani unapeleka gari garage likiwa na tatizo la kutokubadili gear halafu tatizo linatibiwa ila unarudisha gari likiwa linawaka taa ya check engine.Bongo sihami,nalog off!
Kama hiyo taa inawaka red usiendeshe hiyo gari kwa sababu itakufa engine muda mfupi sana ujao.Tafuta fundi aje kucheki gari yako nyumbani au ivute bila ya kuiwasha uipeleke garage.Hahahaha sorry mkuu kwa kutomalizia maelezo hili tatizo limeanza baada ya siku kama mbili mbeleni baada ya kutoka garage.
Ha ha ha ha