Nimeweka Engine Oil 20w-50 X-trail NT30 (2003) nipo sawa?

Hata alivyonunua hiyo kapata ushauri. So anajaribu kupata maelezo mengine, maana hizi oil zipo nyingi sana na mbaya zaidi zile zikizoandikwa kwenye Vitabu vya gari hazipo huku kwetu ndio maana mada za oil haziishi...
Hiyo namba ya oil kwa tz sio pahala pake..... 0W20 ni kwa mataifa yenye baridi kali sana.
 
Nina Toyota IST, nataka kuweka Oil size 5W-30 itakuwa sawa?
Ina engine ipi? 2SZ-FE, 1NZ-FE, 2ZR-FE?
Kama ni hizo mbili za mwanzo, 5w30 itafaa. Kama ni 2ZR-FE, mtandao unasema oil yake ni 5w20. Ila huku sijawahi kuona oil hiyo. Naona zinaanzia 5w30.
 
Ina engine ipi? 2SZ-FE, 1NZ-FE, 2ZR-FE?
Kama ni hizo mbili za mwanzo, 5w30 itafaa. Kama ni 2ZR-FE, mtandao unasema oil yake ni 5w20. Ila huku sijawahi kuona oil hiyo. Naona zinaanzia 5w30.
Asante sana. Ni 1NZ, 1,490cc

Kuna hii ya Technical Data za fluids na Capacities nilidownload kwenye mtandao ndio nikawa naipitia

How many mileages is high mileage?
 
How many kilometers ni high mileage?
 
Kwa engine ya 1NZ yenye km 185k nimenunua mkononi nikaweka 20w-50 nimeshatembelea km 600, ushauri wako please.
 
Kwa engine ya 1NZ yenye km 185k nimenunua mkononi nikaweka 20w-50 nimeshatembelea km 600, ushauri wako please.
Unaua hiyo injini. Recommended engine oil y 1NZ-FE ni 5w30, au 10w30. Umeweka oil ya Fuso. 😁

Huoni kama gari ni nzito na asubuhi ukiwasha inavuma sana?
 
Mkuu hii ya Castrol 5w30 Lita nne zinaenda kwa sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…