Nimeweka record leo mlima kitonga.

Naona unacheza na maisha yako ingekuwa mim ndio wife nikagundua umefanya kitendo hatarishi kama hiki tena unajisifu kabisa alaaaaaaa
Ningekusubiria ufike home nakupokea na mijeledi ya hali ya juu maana huwez kucheza na maisha Wakati kuna familia inakuhitaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa ht ivo bdo nashida na wife maana kasema mpk kachoka hasa kuhusu speed na kutembea usiku nau amekaa kimya tu..amekubal yaishe tu .[emoji1] [emoji1]
 
Hahaaa ht ivo bdo nashida na wife maana kasema mpk kachoka hasa kuhusu speed na kutembea usiku nau amekaa kimya tu..amekubal yaishe tu .[emoji1] [emoji1]
Unahitaji maombi kwakweli sikwamba kakaa kimya vile hamjuagi tu mnavyoweka watu roho juu
 
jaman sumry yupo kweli maana hizi mali za kumulika na tochi tatizo...
Da shida nilisikia alishindana na serikal..sa ukishindana na serikal kifuatacho unakijua nadhan
 
hivi madeni ni kushindana na govt ana madeni ostadh huyu...
Pia inawezekana lkn ..huyu jamaa si wa kule sumbawanga na watu wakule c unawajua utajir.wao unaeleweka
 
Pia inawezekana lkn ..huyu jamaa si wa kule sumbawanga na watu wakule c unawajua utajir.wao unaeleweka
yah head office ya sumry ipo sumbawanga... najua watoto wapo hapa jf waje waseme mzee magar kwa nini kayapaki gerej....
 
yah head office ya sumry ipo sumbawanga... najua watoto wapo hapa jf waje waseme mzee magar kwa nini kayapaki gerej....
Hahaha ita kuwa vizur..mana sio kupotea huku bhn.
 
Naona mnnajuana watumiaji
Unajua kuna jamaa mmoja alipiga mirungi mpaka ikamkolea... Sasa alikuwa na kuidumu cha mtindi... Alipofika mlima Sekenke akajisikia uharo... Akachukua kile kidumu cha mtindi akakimbilia porini.. Baada ya kumaliza kujisaidia akaanza kutumia ule mtindi kuchamba akili yake ya mirungi ikimwonyesha kwamba ni maji. Sasa kila akichamba Anaona uharo hauishi. Mwisho akasema 'Aaa wacha niende na uharo wangu bwana ' kumbe alikuwa anachamba mtindi. Sasa na wewe Isijekuwa mirungi ilikukolea?
 
Safi sana, comred sasa jitahidi uvunje rekodi yako sisi tuna andaa chepe na sururu kwa ajili ua kukufukia, mke tutakusaidia na ila watoto wako tutawarudisha kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…