Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Muongo wewe, huo mlima una km 8 kona kali. Mathemaically impossible
Ndo tabu ya watz mtu hukuwepo unabishia kwa hesabu zako ..endelea kubsha ni haki yko kubsha maana hukuwepo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu Hongera! umetupa hamasa ya kusafiri usiku kuepuka mitochi isiyo na idadi barabarani kuna wakati niliendesha Dar to Kisumu via Nairobi nilitoka Dar saa 4 usiku by saa 11 alfajiri nipo Nairobi saa 6 kamili mchana nipo Kisumu (ukweni). Uzuri wa Kenya hamnaga hiyo mitochi
Eh mkuu.usiku ni shwar hmna bughuza kbsa ni speed yko tu .pia hmna.msongamano.wa.magar.km mchana mi ndo safar.zang mkuu.
 
Kwa kuwa umeizoea hiyo njia dk 9 c ni nyingi sana mpaka zilete mahangao. Ila hongera sana next time ongeza speed utumie dk 6 au dk 7 the urudi jamvini kutuhabarisha.[emoji1322]
Usijal mkuu ..pamoja.
 
Back
Top Bottom