Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Mi nilivyoelewa na baadhi ya wengine pia, ni kuwa jamaa alipofika kitonga, kwa kuwa hakukuwa na foleni na kama alivyosema hapakuwa na magari kabisa, akaamua kushuka hapo kitonga kwa dakika tisa kujisaidia kisha akaondoka zake mdogo mdogo, amesema amevunja record maana kila mara akipita hapo huwa anashuka kujisaidua dakika mbili tu sasa safarimhiikajisaidia dakika tisa.
 
niliwahi kupanda lori pale iringa siku moja tunaenda dsm,sasa kumbe dereva kalewa na tulikuwa wawili tu..kufika kuianza ile kitonga jamaa ananiuliza,oya unaweza kuendesha gari?!!!!..kurareki kumbe kalewa hawezi shusha mtelemko ule,ananiambia we kaa hapo,kuendesha rahisi tu..unanyonga tu rahisi,anasema wewe mtoto aa kiume acha uoga!!!!!...akaanza nitukana matusi,sasa akasema kama sitaki anaendesha yy,sasa nikapima nimuache au nishike mimi...ikabidi niendeshe tu mimi mwenyewe,ilikuwa hatari sana ile siku
 
[emoji1] [emoji1] hayo yko mkuu..na mapya kbsa
 
Na ulikuwa unaweza kudrive mkuu .na ilishawah kuendesha lor duh
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Unajisifia kwa mambo haya halafu ukitumbukia kwenye korongo uje kulalamika hapa madriver wenzako walikupiga full light ukatoka nje ya njia?
 
Na ulikuwa unaweza kudrive mkuu .na ilishawah kuendesha lor duh
nilijuwa sijawahi kuendesha gari mkuu,ndio ilikuwa mara ya kwanza tena usiku..alinielekeza tu brake..tulivyofika comfort ndio tukapaki safari iakendelea kesho
 
Back
Top Bottom