Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
ndio hapa wifi zako wanatwanga mahindi kwenye kinu huku mimi namyoa dogo nyweleahaaa apo up kwenye kibanda umiza nn
pole sana na mawazo yako hayo....ndio hapa wifi zako wanatwanga mahindi kwenye kinu huku mimi namyoa dogo nywele
rudi shule upate cheti urudi mjin hushangae tena magorofapole sana na mawazo yako hayo....
Kwaiyo unataka niweke picha humu.[/QUOTE]unajua humu sio facebook mkuu,mwambie aweke picha na hiyo d4d tumuone
Akili za waajiriwa bhn..mbovu sana kwaiyo ww umeajiriwa bac unadhan wote waajiriwa ..acha fikra mbovu na cwez kuweka picha humu sabb eti nikuwaminishe ww ..mkuu hulazimishwi kuamini hapaulidhani lile swali anaendesha shirika gani niliuliza kwa bahati mbaya,fuatilia nyuzi za huyo wifi yako
asante dada yangupole sana na mawazo yako hayo....
usijali mkuu,vipi ushafika dar tayari au bado upo njianiSasa ulitaka tupongezane kupitia sauti..mbn unaongea vitu visivyoeleweka
wew nemo tamba tu sasa hivi nita ku fire kima kabisa wew na vyet vyako feki...usijali mkuu,vipi ushafika dar tayari au bado upo njiani
wewe si mna kampuni yenu mlifanya sherehe majuzi juzi ukapigwa kelebu na mwanamke,sasa huku utapigwa ndonga kabisaAkili za waajiriwa bhn..mbovu sana kwaiyo ww umeajiriwa bac unadhan wote waajiriwa ..acha fikra mbovu na cwez kuweka picha humu sabb eti nikuwaminishe ww ..mkuu hulazimishwi kuamini hapa
hisia zako ndo zinakupelekea huko amaasante dada yangu
bibie jandoni sikufundishwa uoga, nilikatazwa kusema uongo tuwew nemo tamba tu sasa hivi nita ku fire kima kabisa wew na vyet vyako feki...
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
zinanipeleka wapihisia zako ndo zinakupelekea huko ama
ahaaaa poa ngja niyaache haphapa bos na mwajiriwabibie jandoni sikufundishwa uoga, nilikatazwa kusema uongo tu
hewala! mambo vipi lakini?ahaaaa poa ngja niyaache haphapa bos na mwajiriwa
umekosea padogo tu kuita kima? ila vyeti feki ninavyo kweliwew nemo tamba tu sasa hivi nita ku fire kima kabisa wew na vyet vyako feki...
ahaaaaa mpeni balimi ya 6 haendelee kumwaga chenga zake huyu kimaumekosea padogo tu kuita kima? ila vyeti feki ninavyo kweli