Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

ulidhani lile swali anaendesha shirika gani niliuliza kwa bahati mbaya,fuatilia nyuzi za huyo wifi yako
Akili za waajiriwa bhn..mbovu sana kwaiyo ww umeajiriwa bac unadhan wote waajiriwa ..acha fikra mbovu na cwez kuweka picha humu sabb eti nikuwaminishe ww ..mkuu hulazimishwi kuamini hapa
 
maandishi yako na hizo fikra zako zilete hapa kwa picha tuziamini
Hutalazimishani kuaminiana humu ww,..ht km wahic nasema uongo ni mm najidanganya mwenyewe na sio ww..so potezea mkuu hulazimishwi kuminiana
 
Akili za waajiriwa bhn..mbovu sana kwaiyo ww umeajiriwa bac unadhan wote waajiriwa ..acha fikra mbovu na cwez kuweka picha humu sabb eti nikuwaminishe ww ..mkuu hulazimishwi kuamini hapa
wewe si mna kampuni yenu mlifanya sherehe majuzi juzi ukapigwa kelebu na mwanamke,sasa huku utapigwa ndonga kabisa
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.

Ukifika dar msalimie daudi
 
Back
Top Bottom