Nimeweka record leo mlima kitonga.

Hakuna longo longo ila usiombe kupata matatizo pale mikumi na kushindwa kuendelea na safari. Halafu likapita kundi la Simba kuja kutafuta kitoweo ndani ya gari au Tembo mwenye hasira kuja kulifanyizia gari lako.


 
Ulikuwa unawahi wapi ndugu yetu? maana ajali nyingi zinatokea kizembe namna hii mara nyingi
 
Kwa gari hiyo, hizo dakika nyingi mno
 
next time uendelee kuvunja record kwa kumia dk 2.32 ili tukukute chini ya bonde
 
Mkuu huwa nasafirisha gari mpya dar to congo na zambia usiku tu.. Nishatumia dakika 7 [emoji13][emoji13][emoji6][emoji6]

Mkuu, unapita lini tena unichukue msamvu ukaniache Mwanjelwa ili pamoja na mambo mengine nilihakikishe hili ulisemalo, nifike Mbeya kwa bei ya punguzo, tufahamiane kama wanaJF na pia tupige stori njia nzima nikiamini wewe ni dereva unayesikiliza abiria wako tofauti na dereva wetu wa lori.
 
Km 8 za mlima ule kwa Dakika 9-10. Duuuuuuu
 

Mi nakuombe ufike Dar Salama, hayo ya kuweka record yana watu wake, kwani safari ya Dar ni kupeleka report ya kuweka record?
 
Nilishapita hapo na brevis usiku kama saa sita hivi nilipofika pale comfort wife akagoma kuendelea na safari ikabidi nimuachie aendeshe yeye.
Mwishoni sikuona mantiki ya kuendesha gari yeye maana alikuwa analala nazo kona iyovi hadi nikaingiwa na woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…