Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Kwa gari hiyo, hizo dakika nyingi mnoWakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Bugarama sio Burundi kaka, ile siiko Wilaya ya Ngara au?Kitonga nao ni mlima!kuna hiyo bugarama burundi36kms chiweta malawi
Mkuu huwa nasafirisha gari mpya dar to congo na zambia usiku tu.. Nishatumia dakika 7 [emoji13][emoji13][emoji6][emoji6]
Mkuu huko kwenu viroba bado vinaruhusiwa?Shukran mkuu
Km 8 za mlima ule kwa Dakika 9-10. DuuuuuuuWakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..