miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
vizuriMung yuko pamoja nami..siku akitaka itakuwa asipotaka haitakuwa....ila taadhari ninazo mkuu usiohofu
Eh mkuu.usiku ni shwar hmna bughuza kbsa ni speed yko tu .pia hmna.msongamano.wa.magar.km mchana mi ndo safar.zang mkuu.Mkuu Hongera! umetupa hamasa ya kusafiri usiku kuepuka mitochi isiyo na idadi barabarani kuna wakati niliendesha Dar to Kisumu via Nairobi nilitoka Dar saa 4 usiku by saa 11 alfajiri nipo Nairobi saa 6 kamili mchana nipo Kisumu (ukweni). Uzuri wa Kenya hamnaga hiyo mitochi
Amedanganya tena sana, hata kama sikuwepo. Hizo kona huwez kwenda km 1 kwa dakika. Ni uongo.Ndo tabu ya watz mtu hukuwepo unabishia kwa hesabu zako ..endelea kubsha ni haki yko kubsha maana hukuwepo
Dakika 7 na sekunde 47[emoji1] [emoji1] tuambie yko mkuu..tunasubir