Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si unajua madereva wa Halmashauri wamezoea malori chakavu tu sasa siku kakabidhiwa chuma anang'aa sharubu tuWe jamaa du! D-4D toyota top speed 200 ndo gari gani hiyo? au ulimaanisha toyota Hilux vigo common rail d4d , usiseme d4d peke yake sababu d4d toyota wanazo nyingi, mkuu hata gari yako huijui?
mkuu chunga sana hicho kipori kabla ya chalinze,Nau sasa naamsha moro to dar..tutaona mung akipenda ..baadae
Mkuu nimekupataNilikuwa naongea na wife kidogo xo nikaamua.nirest kidogo tu
Aina ya gari tafadhariWakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.