Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Unajua kuna jamaa mmoja alipiga mirungi mpaka ikamkolea... Sasa alikuwa na kuidumu cha mtindi... Alipofika mlima Sekenke akajisikia uharo... Akachukua kile kidumu cha mtindi akakimbilia porini.. Baada ya kumaliza kujisaidia akaanza kutumia ule mtindi kuchamba akili yake ya mirungi ikimwonyesha kwamba ni maji. Sasa kila akichamba Anaona uharo hauishi. Mwisho akasema 'Aaa wacha niende na uharo wangu bwana ' kumbe alikuwa anachamba mtindi. Sasa na wewe Isijekuwa mirungi ilikukolea?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] amna bhn kwang kitu km hiki
 
Safi sana, comred sasa jitahidi uvunje rekodi yako sisi tuna andaa chepe na sururu kwa ajili ua kukufukia, mke tutakusaia na watoto wako tutawarudisha kwenu.
Kufa kupo mkuu wala ucjal mung akipanga itakuwa ..kwanza itakuwa vizur naenda onana na mola wang..ww hutak kufa ukaonane na muumba wako mkuu.
 
wanadhani wote waajiriwa wenyew wanasumbua mjin kumbe vyet fek blood ful ni muda wa kuwagongea mademu zao sasa kutesa kwa zamu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] kuajiriwa mkuu ni shida sana nilipitia hili mkuu..bfore cjajiajir bhn...ila sasa kaz wa nayo na boss wao mkulu
 
[emoji1] [emoji1] hana uwezo wa kuzuia hili. Nyanda za juu kusin ndo utajir wao mkubwa.
yani kote na matajir wote kunzia sumbawanga kushuk mpaka songea kama wana raaana japo na mm ni mtu wa uko jamen
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] kuajiriwa mkuu ni shida sana nilipitia hili mkuu..bfore cjajiajir bhn...ila sasa kaz wa nayo na boss wao mkulu
nawaona wanakula ubuyu ubungo wakijishauri labda mkuu atabadili gia angani wakati mtaani tuna graduates wana mwaka wa 7 hajuh ataajiriwa lin
 
Kwa gar mkuu..sema njia nina uzoefu nayo sana sabb mwaka km wanne iv napita lkn cjawaj shuka kwa dkk hiz ..mana mara nying huwa malor huchelewesha lkn leo naanza mpk namaliza cjapishana na gar..
Angalia saa yako kama ina betri huenda betri imeisha charge au mishale haitembei vizuri..
 
[QaUOTE="24hrs, post: 20913933, member: 402793"]wanadhani wote waajiriwa wenyew wanasumbua mjin kumbe vyet fek blood ful ni muda wa kuwagongea mademu zao sasa kutesa kwa zamu...[/QUOTE]
unajua humu sio facebook mkuu,mwambie aweke picha na hiyo d4d tumuone
 
Back
Top Bottom