Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafu hicho sio kilevi wanazusha tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] amna mkuu situmii bhn ivo vilevi
Hapana mkuu sijawai muona mtumiaji akifanya yale ambayo akiwa hajala hawezi fanya mkuuKwaiyo akilewesh mkuu..
Madereva wa kusafirisha magari utawajua tuu!!Kitonga nao ni mlima!kuna hiyo bugarama burundi36kms chiweta malawi
Mkumbushe na kamanyola congo,changugu,gisenyi,chirundu
Mkuu huwa nasafirisha gari mpya dar to congo na zambia usiku tu.. Nishatumia dakika 7 [emoji13][emoji13][emoji6][emoji6]
Bro bugarama c mchezo
Hahahaaa ..ni shida bt kabila tu mkuu nimekulia mbal na kule
Endless tu ipo siku yako. Maana kuna masemi trella huwa yana park humo pembeni bila reflector. Kipo utakachokipata siku mojaWakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Hata magari yalitengenezwa kwa hesabu.Hahaaa mkuu bhn naona unaleta hesabu tena ..