Kuna dr nilimuuliza akaniambia km akikaa nacho hakimsumbui akae nacho tu.
Ninaye kijana wangu anatakiwa kuwekewa chuma gharama zake ni shilingi ngapiNaomba ushauri kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hv yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu yy anataka kutoa nikiomba ushauri watu wananiambia ni muache nacho,nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe,nicpo mtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?
35,000 Taasisi ya MoI MuhimbiliNinaye kijana wangu anatakiwa kuwekewa chuma gharama zake ni shilingi ngapi
Naomba ushauri
Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,
Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?
unajua unaweza ukafa kwenye procedure ya kutolewa hiko chuma ?Naomba ushauri