Nimewekewa chuma mguuni nahitaji kutoa

Nimewekewa chuma mguuni nahitaji kutoa

shekalage

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
47
Reaction score
3
Naomba ushauri

Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,

Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?
 
Maelezo ya daktari aliyemuweka hicho chuma yanasema angetolewa lini? unayo mawasiliano ya daktari wake?.
 
Naomba ushauri kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hv yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu yy anataka kutoa nikiomba ushauri watu wananiambia ni muache nacho,nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe,nicpo mtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?
Ninaye kijana wangu anatakiwa kuwekewa chuma gharama zake ni shilingi ngapi
 
Naomba ushauri

Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,

Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?

huhitaji great thinker kwene mambo ya professional mzee…unahitaji watu waliosomea hilo swala la afya siyo la kubrainstorm

Nenda hospital au tafuta specialist wa mifupa ndo akushauri
 
Naomba ushauri

Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,

Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata madhara gani na nikimtoa atapata madhara gani?
unajua unaweza ukafa kwenye procedure ya kutolewa hiko chuma ?
 
Maamuzi huwa yanategemea hali na hali, kila mmoja ana melekezo yake....ayafuate hayo
 
Back
Top Bottom