raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Upo vizuri kwenye biashara kihalali kabisa faida inatakiwa iwe 10% ya mtaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuuYou are on the right track, usivunjike Moto kwani kila kitu kina mchakato ili kuzipiga hatua.
[emoji117]nimewekeza sehemu 2m- napata hiyo laki 6, lengo nikuze hichi mini kampuni. Japo Mambo ni mengi aisee
Acha kiherehere wewe ant ashaLitakuwa duka la mangi
Au bodaboda mbili.Litakuwa duka la mangi
Hakuna muwekezaji hapoHujasema umewekeza kwenye biashara gani, nani anafanya kazi wewe au umeweka mtu, location na mambo mengine mengi. Inashangaza kuona waomba ushauri hamtaki kujisumbua kutoa details kisha mnataka washauri wajisumbue kufikiria
Hata mm boss nilitaka niweke Uzi Kama huu mana nmeinvest mashine ya popcorn mahal cost Tu za mashine ni lak 4 ,plus eneo Kodi ,na gharama za kuvuta umeme kwnye eneo husika jumla ni km nmetumia lak 7 lakin Kwa siku naingiza 10k sikunyingne 7k Profit ko Kwa mwez ni. Laki 3 mpk lak. 2 hii nayo. Vp mkuu tutatoboa kwel. ....You are on the right track, usivunjike Moto kwani kila kitu kina mchakato ili kuzipiga hatua.
[emoji117]nimewekeza sehemu 2m- napata hiyo laki 6, lengo nikuze hichi mini kampuni. Japo Mambo ni mengi aisee
Huku sio kwa waganga mkuu wajue unafanya nini, uombe ushauri na upatiweWakuu heshima yenu
Kuna mahali nimejishikiza, nimeweka 5M, kwa mwezi baada ya cost zote napata laki 6,
Muda wa kazi ni saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku
Naona hii faida kama ndogo sana,
Vipi wakuu niny upande wenu mnaonaje hii faida?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkuu kwanza tambua tayarii huo ni uwekezaji, so👉Hata mm boss nilitaka niweke Uzi Kama huu mana nmeinvest mashine ya popcorn mahal cost Tu za mashine ni lak 4 ,plus eneo Kodi ,na gharama za kuvuta umeme kwnye eneo husika jumla ni km nmetumia lak 7 lakin Kwa siku naingiza 10k sikunyingne 7k Profit ko Kwa mwez ni. Laki 3 mpk lak. 2 hii nayo. Vp mkuu tutatoboa kwel. ....
Yeah running cost tayari nishazitoa na mm ndo narun the business since sijaoa so for that 200k namudu kwenye life kulipia Kodi ya geto na all other basic Needs ndan ya mwezi ,ila SA ndo sijajua km through that biashara itaweza kukua more Zaid ya apo ili hata nifungue vibranch vingine vya mashine hiziMkuu kwanza tambua tayarii huo ni uwekezaji, so[emoji117]
[emoji117]Sitegemei hizo Gharama za kuanzisha Kama zitajirudia, labda uhame [emoji848]
[emoji117] Hata mtoto alianza kwa kutambaq na sio kukimbia, so vumilia kwa kuwa labda wateja wako hawajakuzoea.
[emoji117]Jaribu kuboresha eneo la biashara kimwonekane au upekee was huduma ili kuvutia wateja zaidi.
[emoji117]Umesema profit no laki 3 au 2 je running cost zimeshatoka??, If yes umeajiri mtu or it's you on the line[emoji848][emoji848]
Kudos to you brother 💪💪, Cha kukuShauri ni👉Yeah running cost tayari nishazitoa na mm ndo narun the business since sijaoa so for that 200k namudu kwenye life kulipia Kodi ya geto na all other basic Needs ndan ya mwezi ,ila SA ndo sijajua km through that biashara itaweza kukua more Zaid ya apo ili hata nifungue vibranch vingine vya mashine hizi
Sawa mkuu Kwa ushauri nmekuelewa Sana tutazidi kuwasiliana na kupeana feedback na mtaji ukikua pia nitakuchek hata unielekeze niinvest wp tena ili hata mm nifikie uwezo wa kumiliki ndinga, nyumba tuhame kwny makodi Aya mana ni ndoto za kila hustler kuwa na that life[emoji12][emoji12]Kudos to you brother [emoji123][emoji123], Cha kukuShauri ni[emoji117]
[emoji117]Punguza spending cost zako kwenye Mahitaji yako ya kila siku ili usave mtaji mpya. Zingatia nimemaanisha pesa za kwenye matumizi na sio profit ya biashara.
[emoji117]Usiwaze Sana kuanzisha ki branch kingine, wakati hiki Cha mwanzo bado kina struggle [emoji848][emoji848]. Take your time to learn the business strength na weakness zake. Ili uwe guru.
[emoji117]Tambua kuelekea kuanzisha ki branch kingine, ni lazima ujipange ki mtaji - fedha na resources- watu na vifaa. So laza ufanye maandalizi ya kutosha.
So zingatia haya kwanza, ila usisahau mrejesho ili tuzidi shauriana.