Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

Nilikuwaga nako hako kamashine kwanza kalikaa ndaani weee, nikakatumia miez kadhaa sikuona cha maana nikakauzia mbali tena kwa bei ya hasara laki, looh kama sio mpambanaj sio mpambanaji tu ,
Haahhh dahh mm ndo ninacho apa ulikiweka location siyo au
 
Wakuu heshima yenu
Kuna mahali nimejishikiza, nimeweka 5M, kwa mwezi baada ya cost zote napata laki 6,
Muda wa kazi ni saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku

Naona hii faida kama ndogo sana,
Vipi wakuu niny upande wenu mnaonaje hii faida?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mwenzio nimewekeza 11m napata 5m baada ya kutoa mishahara, nikipambana mpaka 10m inafika
 
Kama unabaki na hiyo baada ya kula .basi inakutosha mana ukiajiriwa hata ukipewa Milion Moja utatumia na utabaki na laki 2 tu kwa mwezi wote.
 
Wakuu heshima yenu
Kuna mahali nimejishikiza, nimeweka 5M, kwa mwezi baada ya cost zote napata laki 6,
Muda wa kazi ni saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku

Naona hii faida kama ndogo sana,
Vipi wakuu niny upande wenu mnaonaje hii faida?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Ulikuja kuniomba ushauri Kati ya vipodozi au electronics,
Umechagua nn??
 
Haahhh dahh mm ndo ninacho apa ulikiweka location siyo au
Oy , Natumaini uko poa !!!!

Samahani , Naomba nikuulize je kilo 1 ya Maindi inatoa Vifuko vingapi vya Bisi ?

Je Mfuko wa Maindi , faida Kiasi gani ?
 
Hata mm boss nilitaka niweke Uzi Kama huu mana nmeinvest mashine ya popcorn mahal cost Tu za mashine ni lak 4 ,plus eneo Kodi ,na gharama za kuvuta umeme kwnye eneo husika jumla ni km nmetumia lak 7 lakin Kwa siku naingiza 10k sikunyingne 7k Profit ko Kwa mwez ni. Laki 3 mpk lak. 2 hii nayo. Vp mkuu tutatoboa kwel. ....
Utatoboa hivi jamn biashara tunazichukuliaje hakuna easy way broo biashara ni hatua
 
Mbona uko sahihi kabisa you make more than 10% ya ulichowekeza, kama hiyo ndio average profit yako uko zaidi ya sahihi.

Jua, vipindi vya biashara yako low and high selling seasons…, jua stage uliyopo tangu ulivyoanza how far umekua umetengenza connections zipi na zipi, soma financial projection yako vizuri,utajua makadirio yako baada ya muda gani upate conclusion ya kufaham kama unabutua au unabutuliwa [emoji1].
 
Point nzuri
 
Back
Top Bottom