Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

Nilikuwaga nako hako kamashine kwanza kalikaa ndaani weee, nikakatumia miez kadhaa sikuona cha maana nikakauzia mbali tena kwa bei ya hasara laki, looh kama sio mpambanaj sio mpambanaji tu ,
Haahhh dahh mm ndo ninacho apa ulikiweka location siyo au
 
Mwenzio nimewekeza 11m napata 5m baada ya kutoa mishahara, nikipambana mpaka 10m inafika
 
Kama unabaki na hiyo baada ya kula .basi inakutosha mana ukiajiriwa hata ukipewa Milion Moja utatumia na utabaki na laki 2 tu kwa mwezi wote.
 
Ulikuja kuniomba ushauri Kati ya vipodozi au electronics,
Umechagua nn??
 
Haahhh dahh mm ndo ninacho apa ulikiweka location siyo au
Oy , Natumaini uko poa !!!!

Samahani , Naomba nikuulize je kilo 1 ya Maindi inatoa Vifuko vingapi vya Bisi ?

Je Mfuko wa Maindi , faida Kiasi gani ?
 
Utatoboa hivi jamn biashara tunazichukuliaje hakuna easy way broo biashara ni hatua
 
Mbona uko sahihi kabisa you make more than 10% ya ulichowekeza, kama hiyo ndio average profit yako uko zaidi ya sahihi.

Jua, vipindi vya biashara yako low and high selling seasons…, jua stage uliyopo tangu ulivyoanza how far umekua umetengenza connections zipi na zipi, soma financial projection yako vizuri,utajua makadirio yako baada ya muda gani upate conclusion ya kufaham kama unabutua au unabutuliwa [emoji1].
 

Point nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…