Nimewota Usiku

Kuanza nashukulu mungu hata hapa nimepiga atua mana zamani nirikuwa napata tabu sana. mujomba wagu wa itaria arinitumia ela nikasoma kidongo
 
Siweizi kujidayi kua sijuyi kuadika ira mushukulu mungu edapo wewe unajuwa kuadika vizwuri. mujomba wagu wa itaria arinitafutia mwarimu nikasoma kidongo sana?
 
Bansi kama watu watakufwa tuobe hiro risitokee
 
Nikikuona tu sehemu au nikiona uzi wako nacheka tu mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niripeda sana shure hila nyubani hatukuwa na ela hiviyo nikacha iri nitafute ela ya kuwatyunza wadongo zagu na famiriya yentu?
 
Ndoto yako inamaanisha wewe umejiunga na jamii forum, na hii forum ndiyo ndege yenyewe. Sasa wachangiaji walio wengi watakuangusha au kukuumiza na kukudharau. Wewe usi vunjwe moyo na wao.
 
Maskini huyu new member hajui kuquote
hajui kutag
hajui kuandika
Eti nimewota
Eti sijakurewa dugu yagu
Eti naoba nivumilienani.
Melo mpe tuition huyu mtu wako ndo umlete humu.
Kuhusu ndoto yako uliota ndege gani bundi,kware au dreamliner?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…