SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,192
Haaaaa mkuu Astelia jitolee kumfundisha kiswahili huyu jamaa
[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]
😀😀😀Kuanza nashukulu mungu hata hapa nimepiga atua mana zamani nirikuwa napata tabu sana. mujomba wagu wa itaria arinitumia ela nikasoma kidongo
Huyu jamaa kaandike kama vile kabanwa na mafua makali sana, yaani nimemaliza kusoma tu nikaanza piga chafya kali sijui kaniambukiza mafua?
R.I.P jembe, kama umewota ndege imeanguka hiyo inamaana wutakufa, au umewahi kuona ndege imeanguka watu wakapona.?Nawasubili waje waniabie ina maana gani?
Dr. Phanju wa Panjuani... Umeolewa?Safuha doto nyevu sijawahi kuwota ila hii inajiludialudia.
Pole sana mkuu usijali elimu haina mwisho unaweza kuendelea kujifunza. Hii (?) ni alama ya kuuliza.Asate sana usiseme tuliyacha shure bira kujuwa sababu za kuwacha shure? Niritamani sana kusoma ira nyubani turikuwa vibaya?
Utakuja kuwa usijali.Najuwa tatizo ni kuwandika hila nitakunja kuwa vizwuri kiuhandishi?
Ndoto yako inamaanisha wewe umejiunga na jamii forum, na hii forum ndiyo ndege yenyewe. Sasa wachangiaji walio wengi watakuangusha au kukuumiza na kukudharau. Wewe usi vunjwe moyo na wao.Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Ndoto ilikuwa inakufaamisha yatakayo tokeaHasante sana hila niriwota kabura ya kujiwunga hum.?