Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
-
- #61
dah pole aise chalii yanguNiripeda sana shure hila nyubani hatukuwa na ela hiviyo nikacha iri nitafute ela ya kuwatyunza wadongo zagu na famiriya yentu?
ahaha we jamaa unalazimisha aiseeNdoto ilikuwa inakufaamisha yatakayo tokea
😂😂ahaha we jamaa unalazimisha aisee
Mdogo'angu itabidi sisi sisi humu JamiiForums tuwe waalimu wako wakujitolea amini utakaa sawa tu kama sisi wengine.naanza;nakusahihisha hii sentesi yako hapo juu,ilitakiwa uandike[emoji116]Hasante sana hila niriwota kabura ya kujiwunga hum.?
Mkuu,naomba umpe ajira kwenye kampuni yako kama typst wako binafsi!Nikikuona tu sehemu au nikiona uzi wako nacheka tu mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usajiliii mzee, umeshaanza kujifunza mbonaKama nahudhi mutu umu anisamee sio kupeda kwagu?
Hiyo ni kiswahili sijui angekutana na kina benzene hali ingukuajeKila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi