Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]amewotaKila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]amewotaKila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi
Nimefurahi,unatokea nchi jirani?Zeus1 mbona unacheka ina mana nimekoseya kuadika,
Mh, kwa herilove b mayisha ya nyubani yarikuwa magum ikabidi niache shure niaze kutafut ela ya kurisha wadongo zagu na mama.
Asate sana usiseme tuliyacha shure bira kujuwa sababu za kuwacha shure? Niritamani sana kusoma ira nyubani turikuwa vibaya?
Huyu mtu amenichekesha sana na mjomba wake wa ItaliaVIP mjomba wa Italia hakuwasaidia msome shule?
Haaaaaa ni kweliii kinachofurahisha zaidi ni lugha yake burudaniiiiiiiiii toshaaaHuyu mtu amenichekesha sana na mjomba wake wa Italia
[emoji23]Haaaaaa ni kweliii kinachofurahisha zaidi ni lugha yake burudaniiiiiiiiii toshaaa
Mkuu tafuta hata mtu akufundishe jioni aisee.Mujomba wa itaria alikuwa anasomesha wadongo zagu ambawo kwa sasa wapo chuwo.