Nimewota Usiku

Nimewota Usiku

Zaman piya nirikuwa narara hata jaa hila nawota.
 
Kwani katika ile series ya vitabu ya "Made Simple" hakuna Swahili Made Simple? Nakumbuka kulikuwa na English Made Simple, Electricity Made Simple, History Made Simple, Chemistry Made Simple, Physics Made Simple na vinginevyo vingi!
 
Ninatagulizwa shukulani zangu kwa wote abao watakuwa nami umu?
 
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.

Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Yani uwote wewe af utafute ufafanuzi kwa mwingine?? t doesnt make sense..[emoji20]
 
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.

Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Kwanza kijue kiswahili halafu ndo utafute mambo ya ndoto za usiku
 
Back
Top Bottom