Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Asije akaamini kuwa mdogo wake aliesta nae, atasimamia majukumu yeye ikitokea hayupo duniani ohoo.
Kwahiyo mke ndio atasimamia majukumu nikiwa sipo duniani?

Kama unadhani dada atafanya negative kwa wanangu, kwani hakuna wake wanaofanya hayo uyafikiriayo kwa waume zao wa ndoa???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
pole sana tafuta hela kwa uchungu na usome sana kila unalofanya ufanye kwa bidii mungu atakubariki na utasahau
 
Mkuu na utu uzima wangu huu umenitoa machozi! Copywrite na mimi aisee! Ila usiseme UYATIMA NI NYOKOOOOOO SANAAAAA!
 
Umenikumbusha mbali mm japo baba na mama walikuwepo lakn nimeishi sana kwa baba wadogo na wajomba lakn walinikomaza kimaisha hiyo toka kwetu nilizoea namm nawambia hata ww toka kwetu
 
Nimeirudia tena mwanzo-mwisho! Utakapoandika kitabu chako unitafute mkuu nipate nakala 1. Ulipitishwa kwenye tanuru kama tulilopitishwa sisi tukiachwa na wazazi tukiwa wadogo sana!
 
Babu na bibi wa upande wa baba imekuwaje? Mkuu hata mimi hapa sina habari na ndugu hasa wa upande wa mama nyoko kabisa! Walitutupa tulipofiwa na wazazi! Na nimewafundisha watoto wangu kutotegemea ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…